TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa kuomba

Asante kwa kuomba

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Msifu Mungu kwa viongozi waaminifu kote India wanaowekeza maisha yao kwa ajili ya Injili. Asante Bwana, hasa kwa Sambhrant Lima, ambaye anashauku ya kuwahudumia watu wa Odisha. Omba Roho Mtakatifu amtie nguvu na kumjaza na ujasiri.
  • Asante Yesu kwa kazi inayofanyika Pakistan. Msifu Mungu kwa TOT 4 zilizokamilika kwa mafanikio katika maeneo yote. Msifu Mungu kwa mabadiliko katika vijiji na kupandwa kwa makanisa yenye afya.
  • Asante Bwana kwa kuwadumisha viongozi wa huduma na wafanya wanafunzi nchini Nigeria wanapokabiliana na hali ngumu na mateso. Bwana amekuwa mwaminifu, kwani viongozi katika eneo la Yola bado wanasimama imara.
  • Msifu Mungu kwa makanisa yaliyopandwa nchini Tanzania! Asante Bwana kwa kuyakuza makanisa ambayo yanakuabudu na yanaoshirikisha Injili.
  • Asante Bwana kwa maono ya uthabiti ya kuona makanisa yakipandwa kote Kusini Mashariki mwa Asia na kwa viongozi ambao wanashauku ya kusema ndio kwa Yesu. Omba nasi tunapoamini kuwa makanisa mia tano yatapandwa kote Cambodia, Laos, Malaysia, na Thailand katika miaka miwili ijayo.

“Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima” – Mithali 4:23

Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu” – Wafilipi 4:6-7

Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana.   

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote” – 1 Timotheo 2:1

Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Omba kwa ajili ya mafanikio makubwa kote Marekani, Mexico, Cuba na Haiti katika ufanyaji wanafunzi. Omba kwamba viongozi wengi watajazwa na maono ya kumfuata Yesu, licha ya gharama. Omba kwamba Marekani itabadilishwa kwa nguvu za Injili.
  • Omba kwa ajili ya waamini wapya katika kijiji chekundu ambao hivi maajuzi wamemjua Bwana kupitia onyesho ya Filamu ya Yesu nchini Togo. Omba kwamba waamini hawa watafanyiwa mafunzo, watatiwa nguvu na kushiriki pamoja.
  • Omba kwa ajili ya Bhutan, ambayo mara nyingi huitwa ‘Ufalme wa Watawa”, ifunguliwe kwa Injili na jamii nyingi amabzo hazijafikiwa zisikie Injili kwa mara ya kwanza. Asante Yesu kwa kuendelea kufuatilia taifa hili lililo katika upweke na watu wake kwa upendo wako thabiti.
  • Omba kwa ajili ya mafanikio ya kiroho, usalama na mazao nchini Nigeria. Omba kwamba Bwana atakufunua nyanja mpya kwa kazi ya Injili na kufungua mioyo ya jamii ambazo hazijafikiwa.
  • Omba kwa ajili ya Indonesia, Sri Lanka, Malaysia, na Thailand baada ya kimbunga kiharibifu kuathiri mataifa haya hivi karibuni. Endelea kuomba kwamba Bwana atawafariji wanaoomboleza na kwamba kanisa litahudumia majirani katikati ya maafa haya.
  • Mwombee mwakilishi nyanjani nchini Pakistan anayeugua maambukizi. Omba kwamba Bwana atausaidia mwili wake na kumwinua ili aendelee ya kazi ya Ufalme.
  • Tafadhali ombea viongozi wa huduma nchini Kenya tunapotazamia kuanzisha maeneo ya malengo ya huduma nyingi katika maeneo mbalimbali ya nchi. Omba wawe na nia thabiti na mioyo ya ukarimu ili kuona makanisa mengi yakipandwa.
  • Jiunge nasi tunapombea Cuba ili kuona makanisa 575 yakipandwa katika miaka miwili ijayo. Waombee wapandaji makanisa wajazwe na ustahimilivu na ujarisi. Omba kwamba taifa litapata faraja kutoka kwa Roho Mtakatifu, na kwamba mwanga utang’aa katika giza!

“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo” – Wafilipi 4:8

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025