TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa kuomba

Asante kwa kuomba

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Msifu Mungu kwa makanisa 45,000 yaliyopandwa mwaka wa 2025 katika magaifa 50! Kuna wale ambao wamepanda, wengine wakapalilia, lakini tunafurahia ndani ya Mungu ambaye anatoa ukomavu. Asante Yesu.
  • Asante Yesu kwa utoaji wako wa ajabu, na kwa wengi kote duniani ambao ni wakarimu kwa fedha zao, muda wao na talanta zao. Msifu Mungu kwa kujitoa kwao kwa harakati na kutumikia maono makuu ya Mungu.
  • Msifu Bwana kwa makanisa 400 ambayo yamepandwa nchini Sri Lanka tangu 2024. Asante Bwana, kwa kuwa unaendelea kunawirisha na kukuza makanisa hata baada ya nchi hiyo kupata kimbunga.
  • Asante Bwana, kwa vituo 610 vya mafunzo nchini Nigeria. Msifu Mungu kwa maelfu ambao wanaendelea kufundishwa na kuandaliwa kupitia mafundisho ya kimakusudi licha ya kukabiliana na mateso nchini kote.
  • Msifu Mungu kwa kituo cha mafunzo cha Oicha, nchini DRC, na kwa lengo lao la kufanya wanafunzi na kupanda makanisa katika kila mtaa. Waombee wapandaji makanisa hawa watiwe nguvu kwa sababu wanahitaji msaada kutoka kwa Bwana ili mpango huu utimie.

“Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima” – Mithali 4:23

Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu” – Wafilipi 4:6-7

Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana.   

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote” – 1 Timotheo 2:1

Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Omba kwa ajili ya Paulo nchini India aitwaye Prakash, ambaye alijeruhiwa na kuchomeka baada ya ajali. Omba kwa Bwana kuuponya mwili wake na kumpa nguvu kwa kazi ya huduma.
  • Ombea Cambodia, Laos, Malaysia na Thailand hata mifumo mipya ya mafunzo inapoanza katika nchi hizi. Jiunge nasi katika kuyaombea makanisa 125 yanayotarajiwa kupandwa na kwamba maelfu ya wanafunzi wapya watamfuata Yesu na kutii amri zake.
  • Omba kwa ajili ya James Rasas, mpandaji makanisa nchini Sudan, anapowafundisha maTimotheo 18 ambao tayari wamepanda makanisa 12. Omba Roho Mtakatifu amjaze kwa furaha, ujasiri na imani ya kumwamini Bwana. Omba kwamba Mungu atampa uvumilivu na kwa James kupata uzoefu wa upendo thabiti wa Bwana.
  • Tafadhali ombea jamii ya waHira iliyoko nchini India. Watu 58,000 wako ndani ya jamii hii, na upatikanaji wa Injili ni mdogo sana katika jamii hii. Omba Bwana awatume wafanya kazi katika vijiji na jamii zao. Omba kwamba mwanga wa Injili utang’aa na wengi wataokolewa!
  • Tafadhali waombee maPaulo wawili nchini Sudan waitwao Zechariah na Moses, ambao ni wagonjwa. Omba kwamba Bwana atawaponya na kwamba watapata nafuu haraka.
  • Ombea kanisa nchini Pakistan hata Waislamu wengi wanapokuja kwa imani katika Yesu. Ombea ulinzi wao na ujasiri unaoendelea hata wanapokutana na mateso na vitisho katika taifa lao lenye Waislamu wengi.
  • Mwombee Satal Lar, mpandaji kanisa nchini Myanmar, ambaye anafundisha maTimotheo 12. Omba kwamba Injili itajizidisha katika huduma yao na kwamba makanisa mengi yatapandwa. Omba Mungu afanye mengi zaidi ya tunayoweza kuomba au kufikiria katika kituo hiki cha mafunzo.
  • Omba pamoja nasi kuona makanisa 12,500 yakipandwa kote Afrika Kaskazini Magharibi ifikapo 2027. Tunaombea Burkina Faso, Gambia, Ghana, Liberia, na Nigeria ili nchi hizi ziwezi kubadilishwa kikamilifu na harakati za upandaji makanisa. Omba kwamba Bwana atawabariki viongozi wa kanisa huko na kwamba waumini wengi wapya watakuja katika Ufalme.

“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo” – Wafilipi 4:8

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025