TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa kuomba

Asante kwa kuomba

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Msifu Mungu kwa mkutano wa kimataifa wa Timu ya Uongozi wa Eneo utakaofanyika Nairobi, Kenya. Asante Bwana kwa fursa ya kukusanyika pamoja, kunoana, na kuliinua jina la Yesu! Omba kwamba Roho Mtakatifu ataongoza kila mpango wa mkutano huu.
  • Msifu Mungu kwa maPaulo 122 nchini Sri Lanka ambao wameona makanisa 400 yakipandwa huko tangu mwaka wa 2024. Asante Yesu kwa kulijenga kanisa lako Asia Kusini.
  • Asante Yesu kwa Pierre David, mpanda makanisa nchini Haiti. Pierre kwa sasa anawafanyia mafunzo maTimotheo 17 akiwa na maono ya wao kupanda makanisa yanayopanda makanisa. Omba kwamba Bwana atabariki kituo hiki cha mafunzo na kwamba Mungu atazidisha huduma yao.
  • Msifu Mungu kwa viongozi walio katika The Timothy Initiative. Asante Bwana kwa wanaume na wanawake ambao wamejitoa kumheshimu Yesu na kutii amri Zake. Waombee pamoja na familia zao wajazwe na amani, faraja na furaha!
  • Asante Mungu kwa fursa ya kukutumikia nchini Sierra Leone. Waombee viongozi na wafanya wanafunzi walioko huko na kwamba Bwana aendelee kuwapatia mahitaji yote wanaohitaji ili kuendeleza utume Wake

“Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima” – Mithali 4:23

Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu” – Wafilipi 4:6-7

Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana.   

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote” – 1 Timotheo 2:1

Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Tafadhali endelea kuombea Cuba na Haiti wanapojaribu kupona baada ya uharibifu uliosababishwa na Kimbunga Melissa mwaka jana. Omba Bwana awape mahitaji yao yote na mataifa haya yajenge upya yakiwa imara kuliko hapo awali. Omba Bwana awafariji wale waliopoteza mengi.
  • Mwombee Ethel, mmoja wa maTimotheo wetu nchini Sierra Leone, ambaye kanisa lake linakumbana na changamoto kubwa. Baadhi ya washirika wameasi na hawahudhurii tena ushirika. Omba kwamba Bwana ataendelea kuupa ushirika huu amani na kwamba kanisa hili litamtegemea Bwana kwa yote. Ombea kutubu, urejesho na uponyaji katika ushirika huu!
  • Jiunge nasi tunapoombea mwanga wa Injili kupenya kaskazini mwa Vietnam. Ombea watenda kazi wengi zaidi kuwezeshwa kwa maono ya kupanda makanisa katika eneo hili la nchi hiyo. Omba wapandaji makanisa wajazwe kwa ujasiri na wakuwe tayari kukadiria gharama.
  • Mwombee Govinda, mpandaji makanisa nchini Nepal, ambaye anawafundisha maTimotheo 15 ambao wameona watu 46 wakiokoka. Msifu Mungu kwa mwendo huu wa ajabu na mwombe Bwana awatie nguvu hawa waumini wapya. Omba kwamba neno la Mungu litaendelea kusambaa nchini Nepal.
  • Tafadhali mwombee mke wa mmoja wa viongozi wetu nchini Kenya. Alipata ajali ya barabarani mwezi uliopita na alijeruhiswa vibaya. Amelazwa hospitalini na anahitaji maombi yetu. Ombea uponyaji wa haraka na Bwana ampe afya kamili!
  • Omba kwa ajili ya usalama wa wafanya wanafunzi nchini Nigeria. Waposhirikisha Injili, omba kwamba Bwana atawalinda kutokana na mashambulizi ya wahalifu, kutekwa nyara na uvamizi. Omba mashambulizi dhidi ya Wakristo duniani yakome.
  • Omba kwa ajili ya uzinduzi wa ACHIEVE India 25-27 na kwa zaidi ya wafanya wanafunzi 40,000 ambao wanashauku ya kushirikisha Injili katika jamii, vijiji na miji yao. Omba lengo la imani la kupanda makanisa 15,000 litimie katika miaka miwili ijayo, na kwamba Bwana atazidisha wanafunzi hawa.
  • Ombea mashirika 27 ya kimataifa ya misheni ambayo yameungana kuunda Muungano wa Waridhia (Coalition of the Willing). Ombea umoja na uharaka katika kutimiza Agizo Kuu. Ombea mashirika haya yanapoomba na kupanga kuzindua maeneo 40 ya malengo ya huduma nyingi mwaka huu. Lengo la imani la kuathiri kwa njia ya kimkakati zaidi maeneo mbalimbali kwa Injili na upandaji wa makanisa. Omba Mungu aongoze njia na kutayarisha mioyo kote duniani!

“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo” – Wafilipi 4:8

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025