TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa kuomba

Asante kwa kuomba

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Msifu Mungu kwa wafanya wanafunzi kote duniani ambao wanatumia kazi na taaluma zao kama majukwaa ya kushiriki Injili, kufanya wanafunzi, na kupanda makanisa. Omba kwamba wengi zaidi wajitambulishe kama mabalozi wa Ufalme wa Mungu.
  • Msifu Bwana kwa kuwalinda viongozi wa maeneo nchini India baada ya kuitwa kwa kituo cha polisi ili kuhojiwa. Polisi walikuwa na maswali kuhusu huduma yao, lakini kwa neema ya Mungu, wakalindwa na kuachiliwa bila matatizo yoyote.
  • Msifu Mungu kwa maelfu ya watu waliookoka nchini Benin na kwa vijiji vingi ambavyo sasa vina kanisa lililopandwa kwa mara ya kwanza! Bwana aendeleze kazi hii nzuri na awape nguvu wote wanaoendeleza Injili.
  • Msifu Bwana kwa mkutano wenye mafanikio kwa Timu ya Uongozi wa Eneo nchini Cuba. Katikati ya changamoto kali, wafanya wanafunzi nchini Cuba na katika nchi zingine kote katika mabara ya Marekani wanamtii Bwana kabisa! Waombee wanawirishwe ndani ya Bwana na wajazwe na amani!
  • Msifu Mungu kwa kazi inayoendelea nchini Scotland. Asante Bwana, kwa viongozi wanaoona hali ya dharura ya kazi na wanashirikiana na Mungu kuona taifa lao likifikiwa kwa Injili. Omba kwa ajili ya uzinduzi wenye mafanikio katika miezi ijayo na kwamba Bwana atafanya mengi zaidi ya tunayoweza kuomba au kufikiria nchini Scotland.

“Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima” – Mithali 4:23

Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu” – Wafilipi 4:6-7

Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana.   

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote” – 1 Timotheo 2:1

Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Tafadhali mwombee dada Kavitha aliye India, ambaye ni muumini mpya anayeugua saratani. Ugonjwa huu umeenea, na madaktari wamekata tamaa naye. Omba kuwa atapata uponyaji kamili na kwamba ataweka matumaini na imani yake kwa Mungu.
  • Omba kwa ajili ya mpanda kanisa nchini Kameroon, ambaye ameweka lengo la kupanda makanisa 30 katika kituo chake cha mafunzo, na anaomba kwamba watu 100 watabatizwa kufikia mwisho wa mfumo wa mafunzo. Bwana na ampe nguvu kutimiza na hata kupitisha malengo haya, yakizaa matunda kwa ajili ya Ufalme.
  • Tafadhali ombea jamii 125 za watu ambao hawajafikiwa zilizotawanyika kote Himalayas nchini Nepal. Waombee wafanya wanafunzi waongozwe na Bwana katika maeneo haya tofauti ya nchi hii kutangaza Injili kwa wale ambao hawajaiskia kamwe. Omba kwamba wengi watatubu na kuiamini Injili.
  • Tafadhali waombee watu milioni 18 wanaounganisha jamii 78 ambazo hazijafikiwa nchini Malaysia. Omba kwamba Injili itaigusa mioyo na maeneo yaliyo na nafasi ndogo za kupata Injili zitainuka ndani ya Kristo.
  • Mwombee Abiro, mpandaji makanisa nchini Ghana, na waumini wengine wapywa ambao wanapitia mateso kutoka kwa mamlaka ya juu zaidi katika jamii yao. Waumini wapya wamo mafichoni, kanisa linakusanyika kisiri, na wengine wameiacha imani kwa sababu ya changamoto hizi. Waombee waumini wasimame imara na  Bwana awafariji katikati ya uchungu wao.
  • Iombee familia ya mfanya wanafunzi nchini Benin, ambaye ameaga baada ya kulazwa hospitalini kwa sababu ya maambuki makali. Omba kwamba Mungu atafariji mke wake, amsaidie kustahimili wakatu huu, na kuishikilia familia yake wakati huu mgumu.
  • Asante Bwana kwa kazi nzuri inayoendelea nchini Ethiopia. Omba kwa ajili ya maeneo yaliyolengwa na huduma kadhaa nchini humo ambamo huduma zinashirikiana kwa umoja na rasilimali ili kufunika eneo zima kwa upandaji wa makanisa. Omba kwamba Bwana atawaongoza na vizazi viguswe na athari za Injili!
  • Yaombee makanisa nchini Mexico yaendelee kuzidisha na kuzaa matunda. Waombee viongozi wawe na kujitolea upya kwa utiifu na uanafunzi. Omba kwamba Bwana atawaokoa watu kutoka asili tofauti na jamii zinabadilishwe kwa nguvu za Injili.

“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo” – Wafilipi 4:8

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025