TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa Kuomba

  • Msifu Mungu kwa wawakilishi nyanjani nchini Sri Lanka ambao wanafanya kazi bila kuchoka ili kuhakikisha na kuthibitisha makanisa na vituo vya mafunzi kote nchini humo. Wanapofanya kazi, ni jambo la ajabu kuwaona wakiwatia moyo na kuwachochea wapandaji makanisa kuendelea katika kazi ambayo Mungu amewapa. Omba kwamba Bwana atawalinda wanaume na wanawake hawa wanapoendelea kutumikia harakati ya TTI nchini Sri Lanka.
  • Ombea kazi ya ajabu ya uzidishaji wa Injili nchini Pakistan. Waislamu wasiohesabika wamesikia Injili kwa mara ya kwanza, na wengi wanageuka kumfuata Bwana! Waombee waumini hawa wapya ili wawe na umoja katika ushirika na kwamba Roho Mtakatifu atalinda mikutano yao.
  • Mshukuru Mungu kwa kazi ndogo lakini kuu inayofanyika nchini Butan. Bwana anawakuza wanaume na wanawake ambao wamebadilishwa na ujumbe wa Injili na wako tayari kulipa gharama ya kumfuata Yesu. Omba kwamba Roho Mtakatifu atawatia moyo leo na kutimizia mahitaji yao yote!

Bangladesh

  • Msifu Msifu Mungu kwa makundi haya yanayokutana kote nchini ili kuomba, kusoma Biblia na kumuabudu Yesu. Waombee watu hawa watii amri za Kristo na kuendelea kushiriki Habari Njema kwa ujasiri na rafiki zao na majirani.
  • Tafadhali waombee viongozi kadhaa wa huduma na familia zao ambao wanakumbana na shida za kiafya. Tafadhali omba kwamba watapata nguvu kimiujiza wanapokumbana na shida hizi. Mwombe Mungu alete suluhisho na kuwatia moyo wanapoweka matumaini yao katika ahadi za Maandiko.

Pakistan

  • Msifu Mungu kwa wale ambao wanaitikia Injili na kumfuata Bwana katika ubatizo. Waombee wengi zaidi wageuke kutoka kwa dhambi zao na kupokea zawadi ya wokovu! Omba kwamba Bwana atawalinda waumini wapya na kwamba watakua katika kumcha Bwana na faraja ya Roho Mtakatifu.
  • Pray for key ministry leaders across all zones who have committed to meeting monthly to seek the Lord together. Pray for God to bring unity, love for one another, and divine strategy. Pray that these meetings would produce abundant fruit in their lives and the lives of those that they lead.
  • Waombee viongozi wakuu wa huduma katika maeneo yote ambao wamekubaliana kufanya mikutano kila mwezi ili kumtafuta Bwana pamoja. Omba kwamba Mungu ataleta umoja, upendo kati yao na mikakati ya kiroho. Omba kwamba mikutano hii itazaa matunda mengi katika maisha yao na maisha ya wale wanaowaongoza.

Nepal

  • Waombee watu ambao wanaishi katika maeneo ya mbali ya Himalayas ambao fursa za kufikiwa na Injili ni chache sana, au hazipo kabisa. Omba kwamba wafanya wanafunzi watatembea kwa milima hii ili kufikisha tumaini ambalo ni Kristo. Ombea nguvu za kuvumilia vikwazo vigumu na kwamba wengi watakuwa na mioyo iliyotayari kwa Injili.
  • Mshukuru Bwana kwa kanisa nchini Nepal na uaminifu wao kwa Kristo. Wengi wao wanaweza kuwa waamini pekee katika familia zao, na licha ya hiyo, wamejitolea kwa Neno la Mungu. Omba kwamba Bwana atabariki ushirika huu kwa ukuaji mkuu na utegemeze wa Roho Mtakatifu.

  • Ombea mamilioni ya watu ambao wanaishi Laos, Indonesia, Thailand na nchi nyingine za Kusiki Mashariki mwa Asia ambao bado hawajasikia Injili kwa mara ya kwanza. Omba kwamba Bwana atafungua njia ili waweze kusikia Injili kwa mara ya kwanza, na kwamba mioyo yao itatiwa hatia. Asante Yesu, kwa Neno lako linagawanya nafsi na roho!
  • Waombee wengi nchini Togo na Benin ambao wamekita mizizi ya katika uchawi, Uislamu na dini nyingine za kaskazini. Omba kwamba Injili itakita mizizi zaidi katika nchi hizi na kwamba dini zingine zitajazwa na WaKristo. Yaombee makanisa ambayo yanakutana kaskazini kwamba zitalindwa na kujazwa na ujasiri wa kuhubiri Injili kwa wale ambao hawajafikiwa.

  • Omba kwa ajili ya nchi Ufilipino baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi wiki chache zilizopita. Tafadhali waombeeni wale walioumia, waliokosa makazi, au familia zilizopoteza wapendwa wao waweze kupata amani katika Kristo. Liombeeni kanisa liitikie jambo hili kwa upendo na vitendo. Omba Ufalme wa Mungu uje na mapenzi ya Mungu yatimizwe nchini Ufilipino kama ilivyo mbinguni.
  • Tafadhali endelea kuombea kanisa linaloteswa Afrika Magharibi. Ombeni Bwana aliinue kanisa duniani kote kuombea na kuwajali ndugu na dada zetu huko. Waombeeni hasa waumini nchini Nigeria watiwe moyo, wapatiwe mahitaji yao, na walindwe na Roho Mtakatifu. Asante, Bwana, kwa kuendelea kuwaongezea idadi hata katikati ya mateso.
  • Asante, Bwana, kwa mwanzo mpya nchini Japani na kwa wafanya wanafunzi wengine walio na shauku ya kuona taifa lao likibadilishwa! Tafadhali omba kwa ajili ya kazi ya kupanda makanisa ya TTI ambayo imeanza hivi karibuni miongoni mwa mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya watu ambao hawajafikiwa duniani. Omba kwamba wengi waipokee Injili na kugeuka kumfuata Yesu. Omba mioyo ya watu wa Japani ilainike na nuru ya Kristo iangazie taifa hilo.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025