TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa Kuomba

  • Omba kwa ajili ya vituo vya mafunzo 48 nchini Mexico na maTimotheo 398 ambao wanafanya mafundisho sasa. Msifu Mungu kwa kila moja ya vikundi hivi! Mwombe Bwana aendelee kuwabariki viongozi hawa kwa uzidishaji wanapotumikia yote ambayo Mungu amewapa.
  • Mwombee Darci aliye nchini Haiti ambaye ni mpandaji makanisa. Darci anawafundisha maTimotheo watano.Omba kwamba Mungu atamtia moyo na kumjaza na maono makubwa zaidi! Msifu Bwana kwa sababu watu 9 tayari wamemjua Yesu kupitia kwa huduma yao. Omba kwamba wanaume na wanawake hawa watakua katika kumcha Bwana, faraja ya Roho Mtakatifu na kulijua Neno la Mungu kwa undani zaidi.
  • Msifu Mungu kwa makanisa 57 ambayo yamepandwa katika taifa la Karibbean tangu January 1 mwaka wa 2026! Haya ni maendeleo ya ajabu, na tunahakika kuwa Mungu ataendelea kuzidisha kazi hiyo ya uaminifu ya wanafunzi walio huko. Yaombee makanisa haya mapya, waumini wapya, na viongozi wa makanisa ili waendelee kumtolea Mungu kilicho cha kwanza na bora zaidi. Omba kwamba Bwana atawatimizia mahitaji yao yote na kuwasaidia kuwa makini kwa ahadi ya uzima wa milele hata katikati ya changamoto kali kwenye kisiwa hicho.

Mexico

  • Omba kwa ajili ya wapandaji makanisa watarajiwa na viongozi muhimu wa huduma ambao wataanza mfumo mpya wa mafunzo mwezi wa Oktoba. Omba kwamba watashika maono na kutambua wapandaji makanisa waaminifu ambao watawakabidhi mafundisho.
  • Mwombee Mchungaji Joel na kikundi chake cha maTimotheo 14 ambao wanashirikiana ili kufikia rafiki, familia na majirani. Msifu Mungu kwa waumini wapya 39 ambao tayari wameitikia Injili na kujiunga na kanisa la eneo. Omba kwamba Bwana aendelee kubariki huduma hii nchini Mexico!

  • Tafadhali omba Bwana awalinde wapandaji makanisa wanaposafiri kwenye maeneo yenye hatari sana kule Karibea. Omba kwamba Injili itakita mizizi katika vyuo vikuu, taasisi za serikali na vikundi za jeshi. Tafadhali omba kwa ajili ya harakati ya mafundisho katika maeneno sehemu hizi jamii.
  • Waombee wafanya wanafunzi kule Karibea wanaolenga kushiriki Injili mara mbili kwa siku. Msifu Mungu kwa hatua hii maalum na ya ujasiri. Mwombe Roho Mtakatifu awatie nguvu ili kutimiza lengo hili kila siku mwaka huu.

Haiti

  • Ombea imani nchini Haiti hata makanisa mengi yanapokumbana na hali ya kukata tamaa. Omba kuwa imani inayopatikana ndani ya Yesu itazama katika mioyo na akili za wafanya wanafunzi kote nchini humo. Omba Bwana awalinde wanaume na wanawake hawa dhidi ya kukengeuka na vita vya kiroho.
  • Tafadhali omba kwa ajili ya mikutano ya Mafundisho ya Wakufunzi (TOT) itakayofanyika mwisho wa Julai. Huu ni wakati muhimu sana kwa wapandaji makanisa na utaathiri mifumo ya mafunzo ya siku za usoni nchini humo. Omba wengi wahudhurie na wawe na mioyo wazi ya kupokea mafundisho!

  • Mwombe Bwana awatume watenda kazi kwa maeneo yenye mavuno nchini Misri (Egypt). Hususan, omba kwamba Waislamu watamjua Kristo kama Bwana na Mwokozi. Liombee kanisa humo litiwe nguvu na vituo vya mafunzo viwawezeshe mashahidi kutangaza Yesu kama Masiya.
  • Ombea nchi ya Indonesia! Karibu watu milioni 200 wanaishi katika maeneo ambayo hayajafikiwa na Injili, na yale ambayo yamefikiwa kwa kiasi kidogo sana. Tafadhali ziombee jamii hizi 234 na umwombe Mungu alipe kanisa na Indonesia huruma ya Kristo ili kuwafikia. Omba Bwana alitie nguvu kanisa la eneo na kukuza kizazi kijacho cha viongozi wa kanisa.

  • Msifu Bwana kwa harakati yenye nguvu inayojifunua nchini Malawi. Waislamu wengi wanamwamini Kristo na kutembea katika utiifu. Mwombe Mungu awape waumini hawa wapya nguvu na ustahimilivu wanapokutana na mateso makali. Omba kuwa watasimama imara ili wasirudi katika Uislamu.
  • Tafadhali ombea Sudan huku mgogoro kati ya makundi mbalimbali ukizidi kuongozeka. Omba ili vurugu zinazoenea kote katika eneo hilo zikome. Mwombe Bwana ayalinde makanisa dhidi ya athari za mapigano na awasaidie waendelee kuwa na ari ya kutimiza kusudi la Injili licha ya hali mshikemshike katika eneo hilo.
  • Omba mchakato wa uchaguzi nchini Vietnam ambapo Timu ya Uongozi wa Taifa ikitafuta kizazi kijacho za viongozi watarajiwa. Mwombe Mungu aipe timu hii hekima na kwamba mfumo ujao wa mafundisho utakuwa wenye matunda mengi zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini humo. Omba kuwe na wanaume na wanawake wengi zaidi ambao wako tayari kuhesabu gharama kwa ajili ya Injili.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025