TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante Kwa Kuomba

  • Tafadhali mwombee Aniston, ambaye ni Paulo nchini Indonesia na kwa sasa anaendelea kupona baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe. Omba Mungu amponye kikamilifu ili nguvu zirejee na aweze kuhudhuria mafunzo ya TOT 5 mwezi Septemba.
  • Waombeeni wawakilishi wote wa huduma za shambani katika eneo la Kusini Mashariki mwa Asia wanaosafiri mwezi Agosti kutembelea makanisa na vituo vya mafunzo. Mwombeni Mungu awape nguvu, afya njema, furaha, uvumilivu na ulinzi wanaposafiri na kuhudumu katika maeneo mbalimbali.
  • Tafadhali endeleeni kuliombea taifa la Laos! Mwombeni Mungu awawezeshe Timotheo 571 ambao kwa sasa wanapata mafunzo ya kupanda makanisa kwa kuwapatia kila wanachohitaji. Waombeeni wanaume na wanawake hawa waweze kusimama katika pengo kwa ajili ya nchi yao na kuishi maisha ya uaminifu kwa Bwana. Pia mwombeni Mungu azibariki kazi za mikono yao na kuimarisha matunda ya Injili ya kudumu nchini Laos.

Malaysia

  • Msifu Bwana kwa ajili ya maPaulo 19 na maTimotheo 230 ambao wanafanya wanafunzi nchini Malaysia. Waombee wakue katika upendo na wategemee Neno la Mungu kwa kikamilifu. Omba kwamba imani yao inawiri na kuwa makanisa mengi yenye afya yapandwe kote nchini humo.
  • Omba kwa ajili ya jamii na maeneo yenye idadi kubwa ya Waislamu ili wawe na mioyo laini ya kupokea ujumbe wa Injili. Omba kwamba Bwana atume watenda kazi katika maeneo haya na kuwa watu wa amani watafungua milango kwa mazungumzo na ushirika. Waombee wengi katika familia za Kiislamu watubu na kuamini Injili.

Cambodia

  • Tafadhali endeleea kuombea amani ya kudumu katika maeneo ya mpakani mwa Cambodia na Thailand. Ombea makanisa yoyote yaliyoathiriwa na mzozo huo yaendelee kukutana pamoja na kumtafuta Bwana. Waombee pia wale wote waliolazimika kuhama makazi yao kutokana na hali hiyo, ili wapate kimbilio na faraja katika Bwana.
  • Ombea kuburudishwa na kutiwa moyo kwa Viongozi wa Kanda nchini Cambodia. Omba wapate mapumziko mema na kwamba Bwana awatume kila siku kutimiza maono ya ACHIEVE. Omba kuwe na uwajibikaji na umiliki wa maono katika kila ngazi ya uongozi, na kwamba Roho Mtakatifu aongoze kila uamuzi wanaoufanya.

Myanmar

  • Kila Kituo cha Mafunzo nchini Myanmar kina lengo maalum linaloeleza malengo ya eneo lake ndani ya nchi. Waombee viongozi wa kila Kituo cha Mafunzo wajitoe kwa maombi kwa uaminifu, na kwamba Mungu ayatimize malengo hayo kwa wakati wake mkamilifu.
  • Ombea makanisa mengi yapandwe licha ya mazingira magumu sana yanayokabili nchi. Omba kila moja ya makanisa haya liweke kipaumbele katika kuwahudumia yatima, wajane, na watu walio katika mazingira magumu zaidi ndani ya jamii zao.

  • Ombea Japan! Mwombe Bwana atume watenda kazi katika shamba hili la mavuno lenye watu zaidi ya milioni 100 ambao wana fursa chache sana au hawana kabisa fursa ya kuusikia ujumbe wa Injili. Omba kanisa la Kijapani liimarishwe, na kwamba Bwana atie moyo mioyo ya wale ambao wamekuwa wakifanya kazi ya huduma kwa uaminifu kwa miaka mingi.
  • Ombea Misri! Kwa sasa, jamii 33 ambazo hazijafikiwa na Injili nchini Misri zinajumuisha zaidi ya asilimia 70 ya idadi ya watu. Ombea watu milioni 107 wanaounda makundi hayo na ambao wana fursa chache sana au hawana kabisa fursa ya kuusikia ujumbe wa Injili. Ombea nuru ya Kristo iangaze mioyo yao, na kwamba wengi wawe huru kutoka katika vifungo vya kiroho.

  • Tafadhali endelea kuliombea taifa la Scotland! Waombee vijana nchini humo wafunguliwe macho kwa ukweli wa Injili na wajazwe ujasiri wa kuitangaza Habari Njema ya Yesu. Ombea makanisa yaungane kwa moyo mmoja, yaweke kipaumbele katika uanafunzi, na kutegemea kikamilifu Neno la Mungu.
  • Ombea Mexico na kundi jipya la mafunzo lililopangwa kuanza msimu huu wa vuli. Kuna matarajio makubwa na shauku juu ya kile ambacho Mungu anaweza kufanya katika taifa hilo. Tuungane katika maombi kuiombea kazi ya huduma, tukimwomba Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria.
  • Mshukuru Mungu kwa Mkutano wa ACHIEVE nchini Togo uliowaleta pamoja makumi ya maelfu ya wafanya wanafunzi kwa siku kadhaa zenye nguvu za ibada, mafunzo, na upangaji wa kimkakati. Ombea matunda ya mkutano huo yaonekane kupitia kupandwa kwa kanisa katika kila kijiji, kila mahali nchini Togo ifikapo mwisho wa mwaka 2027.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025