TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Maombi ya Wiki Hii

  • Nukuu: Uenezaji wa Injili duniani kote unategemea, kwanza kabla ya yote, ufufuaji wa maombi. Hitaji kuu zaidi kuliko hitaji letu la watu, ndani kabisa katika maisha yetu yasiyo ya kiroho, ni hitaji la siri lililosahaulika la maombi yanayodumu, ya dunia nzima. – Andrew Murray
  • Mstari: Mathayo 6:6
  • Takriban watu milioni 65 nchini Thailand hawajafikiwa na Injili. Mwombe Mungu apande makumi ya maelfu ya makanisa ili kusaidia kufikia kila mtu.
  • Tafadhali omba hasa kwa ajili ya Mchungaji Ohm na Mchungaji Mai, wanaowafundisha kwa undani wawakilishi nyanjani wa TTI huko Thailand.
  • Msihi Mungu awalete wafanya wanafunzi waaminifu watakaofanya wanafunzi zaidi nchini.
  • Liberia: Waombee kina Timotheo (wapandaji makanisa) wa kituo cha mafunzo cha kanisa la Trumpet Baptist wanapoenda kwenye vijiji vipya ili kupanda makanisa ya kizazi cha 2.   
  • Msihi Mungu aipe timu ya msingi ya TTI nchini Mexico nguvu na hekima wanapoongoza.
  • Huko Asia, maelfu ya maPaulo (viongozi wa vituo vya mafunzo) wanashiriki katika TOT mwezi huu. Omba kwamba mafunzo yatatumika na kina Paulo watakaporudi nyumbani.
  • KANISA KATIKA KILA KIJIJI KILA MAHALI (ACHIEVE): “Waombee viongozi sita wa eneo walio wapya nchini mwetu waweze kufanya kazi kwa umoja na unyenyekevu. Msihi Mungu awatumie wasaidie kutuongoza katika kupanda kanisa moja katika kila kijiji katika nchi yetu.” – Asia, nchi yenye hatari ya kiusalama.
  • WAFADHILI WA UFALME: Muungano wa Walio Radhi (COTW) sasa una huduma zaidi ya 24 zikifanya kazi kwa pamoja. Msihi Mungu awapee nguvu kuu na umoja ili kupanda makanisa kote duniani.
  • MATESO: “Katika jimbo letu, vita vikali vimeendelea kwa zaidi ya miezi minne. Mawasiliano na uchukuzi umekatizwa. Wafanyikazi wa TTI wanatafuta kimbilio misituni. Tafadhali ombea nguvu ya Mungu ili tustahimili. ” – Asia, nchi yenye hatari ya kiusalama.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025