TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Maombi ya Wiki Hii

  • Nukuu: Isipokuwa tuwe tayari kulipa gharama, na tutoe sadaka ya muda na usikivu na yale yanayoonekana kuwa majukumu halali na ya lazima, kwa ajili ya zawadi za Mbinguni, hapatakuwa na haja kwetu kutazamia uzoefu mkuu wa nguvu ya ulimwengu wa Kibingu katika kazi yetu. – Andrew Murray
  • Mstari: Yakobo 1:6
  • Takriban milioni 68 ya Wanigeria hawajafikiwa
  • Ombea yale makanisa 11,750 yaliyopandwa na kina Timotheo nchini Nigeria, kwamba Mungu atayazidisha na kuyatumia kuwafikia watu wengi sana nchini Nigeria katika miaka ijayo. Waombee kina Timotheo 7,397 wanaopata mafunzo kwa ajili ya kupeleka Injili kwa vijiji, miji na majiji kote Nigeria.
  • Uwepo wa kikundi cha jihadi cha Boko Haram umesambaa kwingi Nigeria, na kusababisha shida nyingi sana kwa Wakristo, na kufanya safari za wengi kuwa hatari.
  • Mexico: Waombee wachungaji na makanisa katika maeneo ya Chiapas na Guerrero yanayokabiliana na matishio mengi kutoka kwa makateli na magenge ya uhalifu uliopangwa
  • Myanmar: Jeshi linawaandikisha wanaume na wanawake kwa lazima kutumikia utawala wa kijeshi. Viongozi wengi wa TTI huko Myanmar wamelazimika kukimbia ili kuepuka kupigana vita wasivyokubaliana navyo. Wengine wamekamatwa na kulazimishwa kupigana vita
  • Tafadhali waombee kina Paulo wanaofungua vituo vya mafunzo huko Liberia, Ghana, Ivory Coast, Chad, na Guinea Bissau. Omba kwamba Mungu atawajalia mafanikio mengi katika kuwainua wafanya wanafunzi.
  • Kanisa Katika Kila Kijiji Kila Mahali (ACHIEVE)፦ Wiki hii huko Afrika Magharibi, viongozi wa mashirika mengi wanakuja pamoja ili kujadili muungano kwa ajili ya kufikia kila Kijiji nchini Togo. Hili ni jambo kubwa, tafadhali omba kwamba litakuwa na mafanikio.
  • Wafadhili kwenye Ufalme፦ Marafiki zetu huko E3 Partners wameongeza juhudi za huduma yao huko Mashariki ya Kati katika kipindi cha Kiislamu cha Ramadan. Tafadhali omba kwamba huku wanavyofanya kazi kuwafunza wale waliomjia Kristo, kwamba wanafunzi wao nao watakuwa wafanya-wanafunzi wenye matokeo. 
  • Mateso፦ Tafadhali ombea viongozi wa TTI wanaokabiliwa na mateso katika maeneo ya Afrika Magharibi, Asia Kusini, na Asia Kusini Mashariki. Wengine wameshambuliwa kimwili, na wengine wamechomewa nyumba zao.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025