TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Maombi ya Wiki Hii

  • Nukuu: “Muda unaotumika katika maombi utazalisha zaidi kuliko ule unaotolewa kwa kazi. Maombi pekee yanaipa kazi thamani na mafanikio yake. Maombi yanafungua njia ili Mungu Mwenyewe afanye kazi Yake ndani yetu na kupitia kwetu. Hebu tuifanye kazi yetu kuu kama wajumbe wa Mungu kuwa sala; ndani yake tutahikikisha kwamba uwepo na nguvu ya Mungu itakwenda nasi.” – Andrew Murray
  • Mstari: Yohana 15:16
  • Jamii za watu 96 kati ya jamii 126 nchini Laos ni Jamii Ambazo Hazijafikiwa na Injili (75.7% ya idadi ya watu). 
  • Waombee kina Paulo 49 (viongozi wa vituo vya mafunzo) huko Laos ambao kwa sasa wanawafunza kina Timotheo 485 kupanda makanisa katika maeneo ambayo hayajafikiwa na Injili.
  • Omba kwamba wengi wa waumini wapya nchini Laos wataibuka kuwa wafanya-wanafunzi wenye ufanisi.
  • Nchi ambayo usalama ni swala nyeti huko Asia Kusini-Mashariki: Tunatafuta kujiunga na viongozi wafaao ili kuendeleza kazi kutoka mianzo yao katika maeneo 6 mapya. Muombe Mungu atuongoze kupatana na watu wanaofaa.
  • Tafadhali ombea mratibu wa mradi wetu wa Gambia ambaye hivi majuzi amepoteza mwanawe mchanga wa kiume. Ombea familia yake katika wakati huu wa huzuni isiyowazika.
  • Omba kwa niaba ya viongozi wa huduma na wafanyakazi duniani kote wanaokabiliwa na pingamizi, changamoto na magumu wanapoazimia kutimiza Agizo Kuu.  
  • Kanisa Katika Kila Kijiji Kila Mahali (ACHIEVE)፦ Tunazindua mkakati wetu wa ACHIEVE (Kanisa moja katika kila Kijiji kila mahali) katika nchi za Ethiopia na Tanzania. Tafadhali omba kwamba Mungu ataleta mashirika yanayofaa pamoja ili kuhakikisha kwamba hili litafanyika.
  • Wafadhili kwenye Ufalme: Mmoja wa wafadhili wetu, One Mission Society, ana lengo la kuwaandikisha wamishonari 125 ikifikia maadhimisho yao ya miaka 125 katika majira ya joto ya mwaka 2026. Omba kwamba watalipita lengo hili na kuona wanafunzi wengi wakifanyika ulimwenguni kote kama matokeo yake
  • Mateso፦ Katika maeneo mawili ya Vietnam, wafanyakazi wa Injili wa eneo hilo wameondolewa na serikali kutoka vijiji ambavyo wamekuwa wakifanya kazi. Omba kwamba kazi itaendelea kupitia wale ambao wamekuwa wakiwafunza.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025