TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Maombi ya Wiki Hii

  • Nukuu: Sala ni kutafuta kuyafikia yale yasiyoonekana; kufunga ni kuachana na yale yote yanayoonekana na yaliyo ya muda. Kufunga kunasaidia kuwasilisha, kuzidisha, kuthibitisha azma kwamba tupo tayari kutoa sadaka yote, hata sisi wenyewe, ili kufikia yale tunayotaka kwa ajili ya ufalme wa Mungu. – Andrew Murray
  • Mstari: 1 Petro 4:7
  • Pamekuwepo na maendeleo makuu ya Injili nchini Sudan Kusini katika miaka ya hivi karibuni, makadirio bora zaidi yanaweka nchi hiyo kwa zaidi ya asilimia 56 ya Wakristo. Bwana asifiwe kwa vile anavyofanya maendeleo nchini Sudan Kusini.
  • Sudan Kusini ina Jamii 6 Ambazo Hazijafikiwa na Injili. Omba kwamba Mungu atawatuma waumini kutoka kwa ile asilimia 56 kuzifikia Jamii hizi zilizosalia.
  • Imetubidi kusimamisha kwa muda kazi yetu katika nchi ambayo usalama ni suala nyeti kwa sababu ya uchunguzi wa serikali wa kazi yetu. Tafadhali omba kwa bidii kwa ajili ya viongozi husika.
  • Nchini Laos, tunajitayarisha kwa mikutano na viongozi Wakristo wanao uwezekano wa kufungua milango ya ushirikiano katika nchi hiyo. Ombea kibali na kwa ajili ya kuwasilishwa kiwazi kwa maono ya TTI.
  • Mabadiliko fulani ya muundo wa uongozi yamefanywa hivi karibuni na kuenezwa barani Afrika ili kuendeleza ukuaji wa huduma. Tafadhali waombee viongozi wote wanaohusika.
  • Kanisa Katika Kila Kijiji Kila Mahali (ACHIEVE): TTI hivi majuzi ilipanga tukio la kuwasilisha maono nchini Togo, Afrika Magharibi, ikiuliza mashirika kadhaa kushirikiana kuelekeza lengo la kuanzisha kanisa moja katika kila Kijiji nchini humo. Omba kwamba maono yale yatabaki na wafadhili wetu wapya wa huduma watajitolea kwa maono ya ACHIEVE pamoja nasi.
  • Wafadhili kwenye Ufalme: Mmoja wa wafadhili wetu wa huduma, Obedience, hivi karibuni amemaliza kutafsiri zile Injili nne kwa lugha ya Asia ya Kusini Mashariki, watu milioni 3 waliokosa kufikiwa na maandiko, sasa wanaweza kupata Injili. Ombea Obedience jinsi wanavyojitahidi kufanya kazi katika nchi mpya huko Asia.
  • Mateso: Kunalo ongezeko la mateso katika sehemu kubwa ya Asia. Chukua muda kuomba kwamba watesaji wale watakuja kumjua Yesu, na kwamba wale wanaoteswa wataona tunda kuu kupitia kujitolea kwao kishujaa kwa Injili.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025