TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa kuomba.

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila
kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu
katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Mshukuru Mungu kwa ajili ya waumini 160 wapya nchini Kambodi ambao hivi majuzi wamepata nakala za Biblia zao za kwanza.
  • Mshukuru Mungu kwa kuwaweka salama viongozi wa huduma katika safari zao katika nchi inayokumbwa na vita huko Asia ya Kusini Mashariki.
  • Toa shukrani kwa ajili ya kina Paulo 250 wanaoanza mafunzo yao katika nchi ambayo usalama ni suala nyeti huko Asia Kusini, na ambao lengo lao ni kuwakuza wapandaji makanisa 3,000.

Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa..” 

Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana. 

Maombezi – Dakika 3

Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Tumekuwa na ripoti nyingi za ugonjwa na kulazwa hospitalini za viongozi wa huduma na familia zao huko Asia Kusini. Tafadhali omba kwamba uponyaji wa Bwana utakuwepo katika eneo hilo.
  • Kwa ajili ya Nigeria, tafadhali omba dhidi ya ugaidi, vurugu na kutokuwa na usalama katika eneo la kaskazini mashariki, hasa katika majimbo ya Maiduguri, Yobe, Adamawa and Taraba, na impendeze Mungu kurejesha amani. 
  • Kunazo Jamii 11 Ambazo zimesalia Hazijafikiwa na Injili huko Mozambique, asilimia 10.4% ya idadi ya watu inaishi kati yazo. Omba kwamba Mungu atatuma huduma zifaazo kwa Jamii Ambazo Hazijafikiwa na Injili huko Mozambique.
  • Omba kwamba Bwana atawalinda kina Timotheo wetu wanaokabiliana na changamoto kutoka kwa vikundi vya magaidi huko Burkina Faso.
  • Ombea zoezi la kupanga ramani linaloendelea nchini Tanzania huku wakizindua mkakati wa ACHIEVE. Omba kwamba mashirika yanayofanya kazi pamoja yatakuwa na hekima na ustadi kwa umoja ili kuitekeleza kazi vyema.

Kutafakari

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025