TTI 24/7 Prayer

Prayer Fuel

Asante kwa kuomba

Asante kwa kuomba

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Msifu Mungu kwa wafanya wanafunzi ambao wametambuliwa nchini Sierra Leone. Asante Yesu kwa kuwakuza viongozi wanaofaa ili kuendeleza Agizo Kuu.
  • Msifu Mungu kwa mkutano mzuri sana wa timu ya uongozi wa taifa (NLT) uliofanyika katika nchi moja ya Asia Kusini. Mkutano huo ulikuwa wenye umoja na ushirikiano.
  • Asante Yesu kwa masomo ya kugundua Bibilia ambayo yameanza nchini Mexico hivi karibuni. Omba kwamba vikundi hivi vitakua katika neno la Mungu na kwamba watu zaidi wanaotafuta ukweli waongezeke.
  • Msifu Mungu kwa sababu ya makanisa zaidi ya 2,000 yaliyopandwa katika mradi wa Afrika ya Kati 23-25. Asante Bwana kwa kutusaidia kulifikia lengo letu la kupanda makanisa na mahafali yanayoendelea katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, DRC na Jamhuri ya Congo.
  • Msifu Mungu kwa watu 40 ambao walibatizwa mwezi uliopita katika nchi ya Asia Kusini. Omba kwamba wataendelea kukaa ndani ya Kristo na wapende Neno lake zaidi.

“Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima” – Mithali 4:23

Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu” – Wafilipi 4:6-7

Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana.   

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote” – 1 Timotheo 2:1

Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Omba kwa ajili ya fursa kadhaa za kutoa maono katika taifa moja la Caribbean pamoja na viongozi muhimu wa mitandao na madhebebu. Majadiliano haya ya ushirikiano ni ya muhimu sana kwa ajili ya ukuaji na upanuzi unaoendelea kote nchini humo.
  • Omba kwa ajili ya mkutano ujao nchini Scotland pamoja na viongozi wa mitandao na mabalozi wa Kimataifa wa TTI. Omba kwamba wapokee maono hayo na wajenge msingi imara kwa kundi la kwanza la mafunzo ya TTI nchini Scotland.
  • Omba kwa ajili ya watu zaidi ya milioni 2 huko Gambia ambao wako katika jamii za watu ambao hawajafikiwa. Omba kwamba Bwana atume watenda kazi katika mashamba haya ya mavuno ya Afrika Magharibi.
  • Omba kwa ajili ya jamii 25 za watu ambao hawajafikiwa na Injili nchini Misri ili wapate fursa ya kusikia ujumbe wa Injili. Omba kwamba nguvu ya Injili iwakomboe watu hawa kutoka katika vifungo vya miaka mingi vya dini ya uongo.
  • Tafadhali omba kwa ajili ya Wakristo wanaoishi katika maeneo ya Waislamu walio wengi katika nchi moja ya Asia Kusini. Omba kwamba Mungu awalinde dhidi ya vurugu na mateso, na awafunike kwa amani na ulinzi wake.
  • Omba kwamba Bwana awalinde wafanya wanafunzi huko Liberia ambao wanalengwa na kundi linalopinga Ukristo. Omba kwamba Mungu awalinde na kuwapa hekima!
  • Waombee maPaulo na maTimotheo katika taifa moja la Asia Kusini waelewe vyema umuhimu wa maono ya ACHIEVE. Omba kwamba wawe tayari kulipa gharama na kusema “ndiyo” kwa kuitumikia nchi yao kwa ajili ya Bwana!
  • Katika taifa hilo hilo la ACHIEVE barani Asia Kusini, mtukuze Mungu kwa makanisa 3,551 yaliyopandwa katika vijiji vyekundu tangu kazi ilipoanza huko. Omba kwamba Bwana ayatie nguvu makanisa haya na kuwatia moyo waumini hawa katika imani yao.

“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo” – Wafilipi 4:8

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

Praying as a group?

Leading others in prayer is a great step in making disciples. We want to celebrate your and their faithfulness. For each person that prays with you, we will add 15 minutes to the 2327.9 days of prayer committed so far.

How many prayed today (including yourself)?

Prayer Timer

(Prayer time: 15 min)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson

Tumia nyenzo hizi ili kukusaidia kuchochea maombi yako

ASANTE KWA KUOMBA

12 Oktoba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

28 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

21 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

14 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

7 Septemba 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

31 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

24 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

17 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

10 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

3 Agosti 2026

Read

Asante Kwa Kuomba

27 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

20 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

6 Julai 2026

Read

Asante kwa Kuomba

29 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

22 Juni 2026

Read

Asante kwa Kuomba

15 Juni 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA

25 Mei 2026

Mahitaji ya Haraka ya Maombi Maombi

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

18 Mei 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

11 Mei 2026

4 Mei 2026

27 Aprili 2026

20 Aprili 2026

Read

Asante kwa Kuomba

13 Aprili 2026

Read

ASANTE KWA KUOMBA.

6 Aprili 2026

Tunafurahi kukualika katika safari mpya ya maombi yanayoangazia kanda. Kwa wiki mbili kwa wakati mmoja, tutaangazia eneo tunakofanya kazi ili kukuunganisha na kile ambacho Mungu anafanya huko. Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatarajia Mungu afanye zaidi ya tunavyoweza kuomba au kufikiria. Asante kwa kuomba kwa uaminifu kwa ajili ya kanisa katika kila kijiji, kila mahali.

Read

MCHOCHEO WA MAOMBI

30 Machi 2026

Asante kwa kuomba Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa […]

Read

Asante kwa kuomba

23 Machi 2026

16 Machi 2026

9 Machi 2026

2 Machi 2026

23 Februari 2026

16 Februari 2026

9 Februari 2026

2 Februari 2026

26 Januari 2026

19 Januari 2026

12 Januari 2026

5 Januari 2026

29 Desemba 2025

22 Desemba 2025

15 Desemba 2025

8 Desemba 2025

1 Desemba 2025

24 Novemba 2025

17 Novemba 2025

10 Novemba 2025

3 Novemba 2025

27 Oktoba 2025