TTI 24/7 Prayer

وقود الصلاة


Asante kwa kuomba

Asante kwa kuomba

Ili kufaidika zaidi na wakati wako wa maombi, tunapendekeza utumie gurudumu la maombi lililo hapa chini. Muundo huu umeundwa sio tu kukusaidia katika maombi yako kwa ajili ya TTI lakini pia kuwa chombo muhimu kwa maisha yako ya maombi kila siku. Tunatumai utapata mchoro huu kuwa wa msaada na ambao unaweza kubadilishwa kwa matumizi yako.

Chini ya gurudumu la maombi, utapata maandiko yanayolingana na maombi. 

“Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:16-18

Chukua muda wa kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo, amefanya nini na anachofanya duniani kote.

  • Asante Yesu kwa uongozi wako na kwa makanisa ambayo yamepandwa kote nchini Sierra Leone!
  • Msifu Mungu kwa waumini 8 wapya ambao wamempokea Kristo kule Vietnam. Asante yesu kwa kuziokoa nafsi na kuwavuta wale walio mbali nawe.
  • Asante Yesu kwa viongozi wapya nchini Pakistani ambao wana asili za Kiislamu. Asante kwa kuwaokoa na kuwapa shauku ya kuwafikia waliopotea!
  • Msifu Bwana kwa vijiji vingi zaidi ambavyo vimetambuliwa na kufanyiwa utafiti nchini Kenya. Asante Yesu kwa kuwaongoza wajumbe wenye ujasiri kwa vijiji hivi vyekundu na vya manjano.
  • Msifu Mungu kwa mkutano wa mafunzo wa wakufunzi wenye mafanikio nchini Haiti. Asante Bwana kwa kuwaleta watu wanaofaa kwa wakati unaofaa kwa ajili ya kazi ya Ufalme wako!


“Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima” – Mithali 4:23


Tumia dakika chache kuangazia mawazo yako, matendo, matamanio, tabia na mtindo wako wa maisha. Je, kuna maeneo yoyote katika maisha yako ambapo kuna dhambi ambayo haijaungamwa au haujatubu. Mwambie Mungu auchunguze moyo wako na ujibu ipasavyo kabla ya kuendelea.

“Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu” – Wafilipi 4:6-7


Tumia dakika chache kuleta maombi yako ya kibinafsi mbele za Bwana, unapofanya hivi, zingatia kumwomba Bwana aulinganishe moyo wako kwa karibu zaidi na wake, na kuweka mzigo moyoni mwako kwa mambo ambayo anayajali sana.   


“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote” – 1 Timotheo 2:1


Omba kwa niaba ya kaka na dada zetu wanaohudumu ulimwenguni kote na TTI:

  • Mwombee mfanya wanafunzi anayeitwa Juan nchini Mexico. Alikuja kwa Bwana hivi majuzi, akabatizwa, na amebadilishwa kabisa. Mwombee hata anaposhirikisha Injili kwa shauku na kufanya juhudi kuelekea kuanzisha ushirika nyumbani kwake.
  • Omba kwa ajili ya kazi ya Injili nchini Laos. Hata makanisa zaidi yanapoendelea kupandwa, omba kwamba yataendelea kukaa ndani ya Kristo na kutangaza ufufuko wenye nguvu wa Yesu.
  • Omba kwa ajili ya jamii ambazo hazijafikiwa na Injili nchini Burkina Faso. Kuna jamii 27 ambazo hazijafikiwa na inakaridiwa kuwa milioni 5.5 ya watu ambao wana fursa chache au hawana fursa yoyote kabisa ya kusikia ujumbe wa Injili. Omba ili nuru ya Kristo iangaze katika taifa hili.
  • Omba kwa ajili ya Sudan na jamii 170 ambazo hazijafikiwa na Injili zilizo katika taifa hilo. Zaidi ya watu milioni 48 wataishi na kufariki bila ushuhuda wa Injili isipokuwa kitu kibadilike. Omba kwamba Bwana atawatuma watenda kazi katika mashamba haya ya mavuno.
  • Ombea kanisa nchini Nepal. Katikati ya vurugu na machafuko ya kisiasa, omba kanisa libaki limejikita katika upendo kwa Kristo! Ombea amani na kwamba utaratibu urejeshwe nchini humo.
  • Tafadhali omba kwa ajili ya wafanya wanafunzi nchini Pakistani wanapopanda mbegu ya Injili kati ya jamii za Kiislamu. Omba kwamba Bwana atawalinda na kuendelea kuwaleta Waislamu wengi kwa imani katika Kristo!
  • Waombee viongozi nchini Sri Lanka wajazwe na shauku na kujitolea kwa maono ya ACHIEVE katika taifa lao. Omba kwamba makanisa mengi yatapandwa katika vijiji vyekundu na vya manjano katika miezi michache ijayo.
  • Omba kwa ajili ya Cuba! Mungu anatenda kazi kuu katika taifa hili ambalo ni kisiwa, na wafanya wanafunzi wengi wanaamini kwamba kanisa litapandwa katika kila kijiji, kila mahali. Omba kwa ajili ya uvumilivu na ujarisi wa kuendelea katika njia za Yesu.

“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo” – Wafilipi 4:8

Chukua dakika chache kutafakari kuhusu maombi yako na maandiko ambayo umesoma. Fungua moyo wako na ufahamu ili kusikia sauti ya Mungu. Unapotafakari, jiulize: Mungu anawasiliana nini nawe kupitia maombi yako na Neno? Je, anakuongoza vipi au kukutia moyo vipi katika wakati huu?

Wakati unapomalizia maombi yako, mshukuru Mungu tena kwa yote anayofanya duniani kote.

صلاة الجماعة؟


إمامة الآخرين في الصلاة هي خطوة رائعة في التلمذة. نريد أن نحتفل بإخلاصك وإخلاصهم. لكل شخص يصلي معك، سنضيف 15 دقيقة إلى 2327.9 أيام الصلاة الملتزمة حتى الآن.

كم عدد الصلاة اليوم (بما فيهم نفسك)؟

مؤقت الصلاة


(وقت الصلاة: 15 دقيقة)

"Prayer is the mighty engine that is to move the missionary work." – A.B. Simpson


Use these resources to help fuel your prayer.

ُشك ًرا لكم لأجل صلواتكم

14 سبتمبر 2026

جمهورية الكونغو الديمقراطية

اقرأ

شُكْرًا لَكُمْ عَلَى صَلَاتِكُم

7 سبتمبر 2026

شمال أفريقيا

اقرأ

شكرًا لكم على صلواتكم

13 يوليو 2026

تنزانيا

اقرأ

شك ًرا لكم لأجل صلواتكم

18 مايو 2026

يسعدنا أن ندعوكم للانضمام إلى رحلة صلاة جديدة تركز على منطقة معينة. على مدار أسبوع ني، سيكون ال رتك نت على منطقة نعمل فيها ل نتبطكم بما يفعله الله هناك. ونحن نجتمع مع ًا نف الصلاة، ًًيننتوقع أن يفعل الله أكت جدا مما نطلب أو نفتكر. شكرا لكم على صلواتكم الأمينة من أجل كنيسة ف كلقرية، نفكلمكان.

اقرأ

شك ًرا لكم لأجل صلواتكم

11 مايو 2026

يسعدنا أن ندعوكم للانضمام إلى رحلة صلاة جديدة تركز على منطقة معينة. على مدار أسبوع ني، سيكون ال رتك نت على منطقة نعمل فيها ل نتبطكم بما يفعله الله هناك. ونحن نجتمع مع ًا نف الصلاة، ًًيننتوقع أن يفعل الله أكت جدا مما نطلب أو نفتكر. شكرا لكم على صلواتكم الأمينة من أجل كنيسة ف كلقرية، نفكلمكان.

اقرأ

شك ًرا لكم لأجل صلواتكم

4 مايو 2026

يسعدنا أن ندعوكم للانضمام إلى رحلة صلاة جديدة تركز على منطقة معينة. على مدار أسبوع ني، سيكون ال رتك نت على منطقة نعمل فيها ل نتبطكم بما يفعله الله هناك. ونحن نجتمع مع ًا نف الصلاة، ًًيننتوقع أن يفعل الله أكت جدا مما نطلب أو نفتكر. شكرا لكم على صلواتكم الأمينة من أجل كنيسة ف كلقرية، نفكلمكان.

اقرأ

شك ًرا لكم لأجل صلواتكم

27 أبريل 2026

يسعدنا أن ندعوكم للانضمام إلى رحلة صلاة جديدة تركز على منطقة معينة. على مدار أسبوع ني، سيكون ال رتك نت على منطقة نعمل فيها ل نتبطكم بما يفعله الله هناك. ونحن نجتمع مع ًا نف الصلاة، ًًيننتوقع أن يفعل الله أكت جدا مما نطلب أو نفتكر. شكرا لكم على صلواتكم الأمينة من أجل كنيسة ف كلقرية، نفكلمكان.

اقرأ

شكرًا لكم لأجل صلواتكم

6 أبريل 2026

يسعدنا أنْ ندعوكم للانضمام إلى رحلة صلاة جديدة يكون فيها التركيز على منطقة معينة. لمدة أسبوعين، سنسلِّط الضوء على منطقة نعمل فيها لنربطكم بما يفعله الله هناك. ونحن نجتمع معًا في الصلاة، نتوقَّع أنْ يفعل الله أكثر جدًا ممَّا نطلب أو نفتكر. شكرًا لكم على صلواتكم الأمينة من أجل كنيسة في كل قرية، في كل مكان.

اقرأ